House for rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


🔸NYUMBA YA KUKODI(INAJITEGEMEA) *slide kushoto kwa picha zaidi*
🔸LOCATION: Kigamboni Ungindoni Kilomita 1.5 Toka Barabara Ya Lami
🔸Vyumba Vitatu vya kulala Vyote Ni self contained,sebule, jiko, Makabati Jikoni Na Vyumbani , choo cha familia, Tiles, Gypsum, slidewindow, maji, LukuYake , Fence/Geti na parking, Pavingblocks , AC
🔸BEI Milioni 1 Kwa Mwezi (1000,000 Tzs Kwa Mwezi) + malipo ya mwezi mmoja kwa dalali_kigamboni_sai_dsm
___
Service charge Elfu 20k TZS hadi unafika site
___
#CALL
#+255746407197