House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


✅️CHUMBA MASTER SEBURE NA JIKO LAKE KWA 300K
✅️NYUMBA MPYA NA IPO NDANI YA FENSI USALAMA WAKUTOSHA KABISA MTAA WA KISHUWA SAN UNALITWA NA MASAI
✅️LUKU YAKO PIA KUNA SOLAR POWER
✅️KODI KUAZIA 4 NAKUENDELEA BOSS WANG
✅️NYUMBA IPO KIGAMBONI KISIWANI GETI JEUSI
✅️MALIPO YA DALALI 300K SERVICES 20K PIGA 0750 886 103