House for rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


Apartment Nzuri Inapangishwa
Mahali: Kijitonyama
Bei: 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Chumba Kimoja Master
☑️Sebule
☑️Jiko
☑️Fensi
☑️Parking
☑️Luku Inajitegemea
☑️Tiles, Gypsum, Shutter Windows
☑️Dk2 Kufika Lami
☑️Maji Dawasa 24/7
Service Charge: 20,000(Payable Once)
Bila Kusahau Malipo Ya Dalali Ambayo Ni Mwezi Mmoja Wa Kodi.