House for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


Furnished Studio Inapangishwa
Mahali: Kijitonyama
Bei: 350,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 3
☑️Lami Nyumba
☑️Chumba Master
☑️Fensi & Parking
☑️Maji Ni Bure
☑️Reserve Tank
☑️Maji Dawasa 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalali Godfrey
Contact
0625584914