House for rent at Kilimanjaro, Kilimanjaro


MARATHON,,, MARATHON,,, MARATHON
Nyumba nzuri ya kisasa iliyopo Shanty town
Nyumba Ina vyumba vi 5
Vyumba vi 3 vyote ni Master, jiko, dining pamoja na stoo.
Bei: Nyumba inapangishwa 100,000 Kwa Chumba kwa Siku. Bei hiyo inajumuisha Bed and Breakfast
Malipo: tunapokea kwa Siku, wiki mpaka mwezi Hadi Mwaka mzima.
Note: Nyumba Kwa sasa Ina uzio wa Ukuta na Gate pamoja na Paving.
Mawasiliano yangu: 0625369161
Note: Usalama 100%
Pia Kuna Gharama za kuonyeshwa nyumba ambazo ni 10,000. Endapo utaridhia nyumba na kuwa tayari kulipia wewe utalipia pesa ya udalali ya mwezi mmoja.
#dalali_moshi_kilimanjaro #moshi #moshikilimanjaro #kilimanjaro #kili #arusha #dar #renthouse #moshiairbnb #airbnb