House for rent at Kilimanjaro, Kilimanjaro


Nyumba nzuri ya kisasa iliyopo jirani na Rose Garden.
Nyumba Ina Vyumba vi 2, jiko, dinning, na stoo.
Bei: Nyumba inapangishwa 600,000 kwa mwezi.
Malipo: Kuanzia miezi mi tatu mpaka 6 .
Note: Nyumba Kwa sasa Ina uzio wa Ukuta, Paving na Gate
Mawasiliano yangu: 0625369161
Note: Usalama 100%
Pia Kuna Gharama za kuonyeshwa nyumba ambazo ni 10,000. Endapo utaridhia nyumba na kuwa tayari kulipia wewe utalipia pesa ya udalali ya mwezi mmoja.
#dalali_moshi_kilimanjaro #moshi #moshikilimanjaro #kilimanjaro #kili #arusha #dar #renthouse #moshiairbnb #airbnb