House for rent at Kiluvya, Pwani


KODI 150K APARTMENTS MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KILUVYA/KIBAHA MPAKANI #150k
===
Chumba cha kulala 
Sebule 
Choo ndani 
Inajitegemea umeme na maji 
Ndani ya fence parking IPO 
===
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 7 Kwa miguu toka Morogoro Road 
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena 
=== CONTACT 0748817181




















