House for rent at Kiluvya, Pwani


APARTMENT INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #150k
===
Vyumba 2 vya kulala haina master bedroom sebule haina jiko na public toilet ndani
===
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
===
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
===
Umbali dakika 9 Tu Kwa mguu
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena, Malipo ya dalali ni Kodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba
===
0652 508128
0753 989554
====