House for Rent at Kimanga, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGISHA
#Location: kimanga
Ukitoka Kalia koo gari moja
Ukitoka masiliano gari moja
Umbali kutoka kimanga
Ukishuka dakika 5 kwa mguu
Gari ya chini inafika bila shoda
Dipoziti laki 300000
SIFA ZAKE
-chumba master
- Sebule
- jiko
- full ac
Umeme LUKU inajitegemea
Maji dawasco inajitegemea
Nyumba zipo mbili tu
Panking ya gari aipo
KODI YAKE Tsh. 300000/ malipo miezi sita
Service Charge 15000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Dalali Makini Ubungo
Sina cheni