House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


๐LOCATION KIMARA MWISHO ๐ BONYOKWA KM 3 KUTOKA MAIN ROD
UNAWEZA PITA KIMARA KOLOGWE NAYO UNAFIKA UKITOKEA SEGEREA NI SAWA NAKO USAFILI UKO
๐๏ธCHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA & JIKO KUBWA
๐SIFA ZAKE
TAILIZI GPYSAMU DILISHA KIOO MAJI NDANI UMEME MITA YAKO
๐USAFIRI KUNA BAJAJI SH 500 DALADALA ZIPO
NYUMBA IKO KWENYE FENCI PAVING BLOCK ๐ซ ZINAWEKA
๐ฐKODI 180K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH 20000
๐MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA๐ค
0655256419