House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA 💯%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA NA JIKO LAKE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 170K X3//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI ELFU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#OPEN KITCHEN KUBWA SANA
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
❌HII INAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 05/2024, KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA ❌
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
🏡🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.
#0785889413
#0785889413
#0785889413