House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #200k
====
Chumba Cha kulala
Sebule kubwa
Choo ndani
JIKO
====
BEI:200,000 KWA MWEZI × 6( maongezi kidogo kuhusu bei njoo site )
====
Inajitegemea umeme, Maji Dawasco yanaflow chooni
===
Umbali KM 2.5 Bajaji zipo ukishuka unaingia ndani
===
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
=====
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343