House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000X6)KIMARA KOROGWE KILUNGULE..
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
NI APARTMENT NZURI MPYAA KABISA ZINAPANGISHWA
.
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
.
.
SIFA ZAKE
➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
✔️NDANI YA FENCE
.
.
ZIPO APARTMENT 2 TU APA FENS INAJEGWA MPKA TAR 01/07/2024 ITAKUA TIARI NA PERVING BLOCK ZINAWEKWA MAZINGIRA YATAKUA MAZURI SANAA
.
.
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
.
ANGALIZO:
HII NYUMBA KIDOGO BRBR YAKE SIO RAFIKI SANA KWA WALE WENYE MAGARI YA CHIN
.
.
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA KAMA DK 10 MPKA 15 KWA MIGUU UFIKE NYUMBAN AU UCHUKUE BODA 1000 MPKA 1500 UFIKE NYUMBAN
.
.
CONTACT
0716223412
0683597453