House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YAPO NJE
NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA, INAJITEGEMEA LUKU
NYUMBA IKO UMBALI WA KM3, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
KODI 180,000/= KWA MWEZI ILIPWE MIEZIX6
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI I
What saapp number 0689-547258