House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) STOP OVER
MPYA MPYA 250,000
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= × 6
KUONA NA KULIPIA RUKSA
ITAKUWA IMEKAMILIKA 1/5/2024
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
FENSI KUBWA HAINA
PARKING
BEI NI 250,000/= × 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3
KWAMIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300