House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
๐ฏ๏ธKIMARA TEMBONI
๐ 550,000/= *6
_________
____
โข Vyumba 3 vya kulala (vyote master bedrooms)
โข Sebule
โข Jiko
* Heatereya Maji ya Moto
* A/c
* Ndani ya Fensi
* Inajitegemea UMEME
* Maji yanatoka ndani
#Umbali wa kutembea dk 16 au bajaji 500
#Iko Upande wa kulia kama unaenda Mbezi
#kodi Inaambatana na ya tahadhari (caution money) Tsh. 550,000/*=
๐ NOTE: ya juu inakuwa wazi tarehe tarehe 24/06/2024
______
#Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
#Malipo ya Dalali ni 550,000/=
______
0753-172-516