House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI MNOO ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU BARABARA SAFI KWA GARI YOYOTE INA FIKA
----------
Chumba master kikubwa
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati juu na chini
Heater ya maji moto maji baridi
Full air condition
Maji yana flow
Luku yako
Electronic fence
Tiles
Gypsum.
Ndani ya fence
Geti la limoti
Paving block
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 15,000/=
Kodi 330,000/=ร6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.3
-------------
Contact
๐#0676218580 (WhatsApp)
๐#0693673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐
0655256419