House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(280,000 ร 6) KIMARA TEMBONI
NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE INAPANGISHWA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/05/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NA KUFANYA MALIPO
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 280,000/= ร 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 80 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI
๐ฅPIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA USAFIRI NI BAJAJI HADI KWENYE NYUMBA
๐ค NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300