House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 5,6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 300,000/= × 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#HAKUNA MASTER
#LUKU INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI SIO GOROFANI
BEI NI 300,000/= × 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact;
0654101710
0787205300