House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #ZINAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Baruti
🕑1km Kutoka mwendokasi, Bajaji & Boda Zipo Mpaka Hapo. pia Unaweza Pitia Kimara Korogwe kote unafika
#SIFAZAKE
🔹Chumba kimoja Master kikubwa
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking Kubwa
👉 Moja Hii Iko wazi, Iwahi nyumba nzuri sana na pametulia sana
🔶Kodi Tsh 250, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊