House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA KODI TSH 200,000X6
LOCATION KIMARA STOP OVER
KODI 200,000X6
UMBALI KM 1.5 USAFIRI BODA 1000
UKISHUKA UNAINGIA NDANI
SIFA YA NYUMBA
NI CHUMBA MASTER KUBWA NA SEBULE KUBWA
CHOO CHA PUBLIC TOILET KIPO NJE
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA MASAA 24
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
NDUGU MTEJA HIZI APARTMENT ZIPO TAYARI KUONA NA KULIPIA NA KUHAMIA RUKSA
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15.000
NA UKIPENDA NYUMBA BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BARABARA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI πππΊποΈ
What saapp number β¬
οΈ 0689-547258