House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 150,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU MNASHEA WAWILI TUU
#HAKUNA FENSI HAPA ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
BEI NI 150,000/= X 6
🏘️ APARTMENT IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700
===
CALL
0683234124
0718367179