House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000X5)KIMARA SUKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 5
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/03/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 5
ILIPWE LAKI 3 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 NA KUENDELEA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/03/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja