House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
USAFIRI IPO WA KUTOSHA KUFIKA KWENYE NYUMBA
NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO
INA FULL AIR CONDITION FULL INTERNET IPO NDANI YA FENCE PAKING YA KUTOSHA USALAMA WA KUTOSHA
INAJITEHEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW NDANI
KODI 400000 KWA MEEZI MALIPO MIEZI 6
KUONA NYUMBA SURVEY CHARGE NI 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI UNAPOFANYA MALIPO YA NYUMBA
RUKSA KULIPIA ZITAKUWA TAYARI TAREHE 1/2/2025
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGASIMU NAMBA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI