House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD..ZIMEBAKI MBILI .NJOO TUMALIZIE...
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NEW CLASSIC APARTMENT FOR RENT 🔥🔥💥💥 AT KIMARA TEMBONI ZIMEBAKIA 3 TUU
💥APARTMENT HIZI MPYA ZIPO 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
SEHEMU 'A'
#VYUMBA VITATU 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIR CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBANI
#GARDEN + PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI TSH 700,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBA VYOTE
#GARDEN + PAVING ZA KISASA
#PARKING KUBWA
BEI NI TSH 600,000/= X 6
FULL SECURITY CCTV CAMERA NA FENSI YA WAYA WA UMEME
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
📌📌 APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/06/2024
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453