House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 5,6) KIMARA MWISHO
NI APARTMENT NZUR SANA
INAPANGISHWA KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5 MPKA 6 NA SIO CHIN YA APO
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA DK 10 MPKA 15 KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS PIA USAFIRI WA BAJAJI UPO 700 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300