House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(130,000X4)KIMARA MWISHO 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖
IMESHUKA BEI KWASASA NI 130,000X4
APARTMENTI NZURII SANAA ZIKO NDANI YA FENSI MOJA WAPO IPO WAZII
UMEME WAWILI 2 KILANYUMBA INASABUMITA YAKE NA MAJI DAWASA BOMBALIPO PEMBENI
SIFA ZAKE KODI 130,000X4
>CHUMBA KIKUBWA MASTER
>SEBULEE
>JIKO( KUBWA SANA
>PUBLIC TOILET NJEE
>TAILS,GYPSUM,
>PARKING SPACE KUBWA IMEBAKI MOJA
🛣LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI KM 2 USAFIRI BAJAJI 1000
SERVICE CHARGE ELFU 15
MTEJA UKIPENDA NYUMBA UNAMLIPA DALALI ELA YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453