House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartiment house for rent Kali nzuri Sana
Location kimara suka dakika 10 kutembea mpaka home
Kodi 200000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo mita yake
Parking space fency kubwa
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128