House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(230,000X6)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NEW APARTMENT FOR RENT ###230K
-----------------------------------
NYUMBA MPYA YA KIBACHELA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
--------
NI APARTMENT YA =
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA YANAWEKWA NYAVU
HAIPO KWENYE FENSI USALAMA UPO
----------
KODI NI LAKI 230,000 \/=KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 \/=
------
NOTE =
HII NYUMBA NI MPYA IPO KWENYE FINISHING NDOGO NDOGO KUONA NA KULIPIA RUKSA ITAKUA TAYARI KUHAMIA TAREHE 01\/5\/2024
CONTACT US:-
0716223412
0683597453