House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA TEMBONI
𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilomita 2.5 Kutoka Main Road Usafiri Bajaj na Bodaboda zipo muda wote
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Vyumba VITATU Vya Kulala na Kimoja Wapo Master Bedroom
• Sebule Kubwa Sana
• Jiko Kunwa
• Choo Kizuri Ndani Public
Apartment zipo 2 ndani ya Fensi Parking ipo.
Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Service Charge ni shilingi 15000
Contact:
0654101710
0787205300