House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 ร 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NA KULIPIA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 350,000/= ร 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 50O
NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI TATU NA NUSU ( 350,000/=)
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300