House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#MASTER KALI SANA MPYAA MPYAA INAPANGISHWA 
LOCATION #KIMARA_TEMBONI 
#KODI: 100.000X4
UMBALI KLM 1
USAFIRI BODA 100
NI CHUMBA MASTER KUBWA MZURI SANA USALAMA UPO WAKUTOSHA 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MASAA 24 YANA FLOW NDANI 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















