House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


# STAND ALONE
# NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI INAPANGISHWA.
# INA VYUMBA VITATU KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM.
# INA SEBURE NA DINNING. INA JIKO ZURI LENYE MAKABATI . INA PUBLIC TOILET NDANI. PARKING IPO NA BARABARA NI NZURI. NYUMBA IPO KIMARA BARUTI DK 6 KUTOKA STEND YA MWENDOKASI. KODI NI LAKI 5 × 6
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087