House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Kiwanja kwa ajili ya Makazi au kibiashara kama kujenga Apartments za kupangisha kinauzwa kipo kimara korogwe Maeneo ya kilungule umbali km 2.5 kutoka Morogoro Road korogwe Mwendokasi Terminal.
Usafiri wa bajaji upo nauli ni Tsh 500 kutoka kimara korogwe ukishuka kituoni unatembea dk 4 hadi kiwanja kilipo .
Ukubwa wa kiwanja ni
Sqm 600
Bei milioni 35
Maongezi yapo
Huduma za jamii kama umeme na Maji Dawasa yapo jirani na Barabara inafika mpaka kwenye Kiwanja.
-------
Kwenda Kuona kiwanja ni elfu 30,000 /= hii Itadumu mpaka upate kiwanja au eneo ulitakalo bila kuchajiwa tena.
-----
Contact ="#0625606710