House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


400,000x6
HIZI NYUMBA ZIKO 4 KWENYE FENSI MOJA ZIKO MBALIMBALI MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#DAINING TABLE
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0679 956 863
0759151524