House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KUPANGA 130K X6
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 10 TUH KWA MIGUU
SIFA ZAKE
#CHUMBA_MASTER
#SEBULE
TYRIES JIPSUM madirisha shata yenye hewa safy haina fensi ila mazingira mazury na utulivu wa kutosha
#umeme_luku_submeter_na_maji_yapo_dawasco_na_yanaflow_nje
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO
WSP /call
0679997610
Msigwa