House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(500,000X6)KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
STAND ALONE NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE #BEI NI 500K
INAKUWA WAZI TAREHE 01\/06\/2024
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#STORE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#SIMTANK ZA MAJI
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453