House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA MAKABATI NA PUBLICK TOILET
ZIPO NYUMBA TANO NDANI YAFENSI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA ZILIZOKUWA WAZI NI MBILI ZA JUU
Km 2.5 kutoka kituoni
Bajaji na Bodaboda zipo muda wote
KODI KWAMWEZI 300,000 × 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300