House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(170,000X5)KIMARA MWISHO, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖
WAHI MAPEMA NDG MTEJA WANGU HII SI YA KUJIULIZA MARA MBILI BEBA ELA NJOO FASTA
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI UPO BAJAJI TAXS NOA 700
SIFA ZAKE
➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA MASTER
✔️ SEBULE
✔️JIKO LAKO LA NJE
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453