House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA IPANGISHWA IPO JIRANI NA BARABARA BEI NI 650,000/= X 6
INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
ZIPO NYUMBA 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING KUBWA
BEI 650,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI NI JIRANI NA NYUMBA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Contact call 0712531657#0789731695 whatsapp