House for rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 300,000

KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
NI APARTMENT NZURI MPYAA KABISA ZINAPANGISHWA
.
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
.
.
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI KUBWA NA CHOO CHA WAGEN NJE
.
.
ZIPO APARTMENT 2 TU APA FENS INAJEGWA MPKA TAR 01/07/2024 ITAKUA TIARI NA PERVING BLOCK ZINAWEKWA MAZINGIRA YATAKUA MAZURI SANAA
.
.
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
.
ANGALIZO:
HII NYUMBA KIDOGO BRBR YAKE SIO RAFIKI SANA KWA WALE WENYE MAGARI YA CHIN
.
.
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA KAMA DK 10 MPKA 15 KWA MIGUU UFIKE NYUMBAN AU UCHUKUE BODA 1000 MPKA 1500 UFIKE NYUMBAN
.
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT

0686334182

dalali_maulid_kimara_temboni
dalali_maulid_ubungo_kibamba
dalali_maulid_kimara_temboni

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISAA UNAZINDUA MWENYEWE ZIINAPANGISHWA .LOCATION:KIMARA KOROGWE KM 2...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚:...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

0679 997610 :𝙉𝙔𝙐𝙈𝘽𝘼 𝙉𝙕𝙐𝙍𝙄 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙋𝘼𝙉𝙂𝘼 #𝙎𝙏𝘼𝙉𝘿_𝘼𝙇𝙊𝙉𝙀#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KI...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:𝙉𝙔𝙐𝙈𝘽𝘼 𝙉𝙕𝙐𝙍𝙄 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙋𝘼𝙉𝙂𝘼 #𝙎𝙏𝘼𝙉𝘿_𝘼𝙇𝙊𝙉𝙀#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA KUBWA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO UMBALI KM 1.5 BODA 1000KODI 250,000X6INA VYUMBA V...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI#SEBULE WASTANI#CHUMBA MASTER#JIKO ZURI LENYE ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI #SEBULE WASTANI#VYUMBA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA KUBWA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO UMBALI KM 1.5 BODA 1000KODI 250,000X6INA VYUMBA V...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI #SEBULE WASTANI#VYUMBA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 400,000X6 LOCATION KIMARA MWISHO...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

KODI NI Tsh. 200,000 X6 TU WAHI NYUMBA NZURIPIGA SIMU 0755🌍LOCATION: NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:𝙉𝙔𝙐𝙈𝘽𝘼 𝙉𝙕𝙐𝙍𝙄 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙋𝘼𝙉𝙂𝘼 #𝙎𝙏𝘼𝙉𝘿_𝘼𝙇𝙊𝙉𝙀#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA KUBWA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO UMBALI KM 1.5 BODA 1000KODI 250,000X6INA VYUMBA V...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#KODI (300,000X6) APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location kimara Mwisho umbali dk 8 kwa mguu#Chumba ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 TOKA MAIN ROAD BEI NI 300,000/=X6SIFA ZAKE VYUMBA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI KM 1 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BAJAJ UPO 24 HRS BEI NI...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHOUmbali wa Kutembea...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:𝙉𝙔𝙐𝙈𝘽𝘼 𝙉𝙕𝙐𝙍𝙄 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙋𝘼𝙉𝙂𝘼 #𝙎𝙏𝘼𝙉𝘿_𝘼𝙇𝙊𝙉𝙀#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA SIOYA KUKOSA NDUGU MTEJA UTAJILAUMU BEBA PESA KABISA APARTMENT HII...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KIMARA STOP OVER APARTMENT KALI SANA SASA IPO WAZII NI KULIPA NA KUHAMIA400,000/= Kwa mwezi mmoja, M...