House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER 250,000X6
===
Chumba cha kulala master bedroom sebule jiko na public toilet nje
===
Kodi 250,000 Kwa mwezi Γ 6
===
Umbali KM 1.5 Kwa gari, kwamguu kuna shortcut dakika 15-17 bodaboda 1000
===
Inajitegemea umeme na maji, zipo ndani ya fence
===
NB: Nyumba hii gari haifiki vizuri kwenye nyumba inaishia Mita kadhaa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 π
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 π
What saapp number β¬
οΈ 0689-547258