House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 ILIPWE SAMBAMBA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA YAANI LAKI 3
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
BEI NI 300,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 25/05/2024 SASA HIVI UNA RUSIWA KUZIONA NA KUFANYA MALIPO YOTE YA MIEZI 6 + NA PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 3
Contact call 0712531657#0789731695 whatsapp