House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APATIMENTI KALI YA KIFAMILIA  INAPANGISHWA 
IPO KIMARA TEMBONI 
UMBALI KUTOKA TEMBONI  DK  6 
KWA MGUU
SIFA ZA NYUMBA 
===========
VYUMBA VIWILI  SEBULE KUBWA SANA  JIKO NA 
CHOO CHA PABLIC  HAKUNA MASTA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA 
NJIA NI MKEKA HADI NYUMBANI
========
KODI 300,000/= X6
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA 15000/= Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















