House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
BEI:ELFU TISINI (90,000×4) NA IFAULISHA NYUMBA IPO KIMARA MWISHO NYUMBA NZURI SANA IKO NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKAS
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJI 1000/=
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
NI CHUMBA, SEBULE NA CHOO NDANI
UMEME SABUMITA
MAJI NJE
TILES, GPYSUM MADILISHA KIOO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15000/=
NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI MMJO WA DALALI
#0625606710