House for rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ANATAKIWA MTEJA WA KUHAMIA KUANZIA TAREHE 25/06/2024 NDIO ITAKUA WAZI

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 450,000/= X 6

🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MUDA MZURI WA KUONA HII NYUMBA NI KUANZIA SAA 10 JIONI NA MWISHO NI SAA 12 JIONI

💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

PIGA SIMU

0719969102

0714903124

dalali_kimara_mbezi_kibamba
dalali_kimara_mbezi_kibamba
dalali_kimara_mbezi_kibamba

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment Classic For Rent Zipo 2 Kwenye Fence Location: KIMARA BARUTI Distance: Dakika 7-10 Kwa Kut...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWANYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI#SEBULE KUBWA SANA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location: KIMARA BARUTI Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD Usafiri 24H...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment Classic For Rent Zipo 2 Kwenye Fence KODI 400,000 × 10Location:KIMARA SUKA Distance: Dakik...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 6🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KODI NI 400,000x10APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA Vyumba viwili Vyote master Sebule kubwa s...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200,000/= X 6======🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIP...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

Apartment Mpya InapangishwaMahali: Kimara KorogweBei: 400,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6Dk15 Kutembea,...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA LOCATION:KIMARA KOROGWE DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA 1000 BA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 6🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartment kali sanaa @Inapangishwa @Bei 250,000 kwa mwez @Malipo miez 6 na dalali 7 @Ni master sebul...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO SOMA MAELEZO VIZULI(1)CHUMBA, SEBULE, JIKO OPEN KITCHEN, PUBLIC TOIL...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

>CHUMBA KIMOJA MASTER >SEBULE KUBWA >JIKO🛣LOCATION:KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI K...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 6🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANA...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO SOMA MAELEZO VIZULI(1)CHUMBA, SEBULE, JIKO OPEN KITCHEN, PUBLIC TOIL...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*SOMA MAELEZO VIZURI__________________________...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🇹🇿#HII NYUMBA KUBWA INAFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA #INAPANGISHWA📍Kimara korgwe 🕓Umbali kutoka ku...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🚨🔥#APARTMENT #INAPANGISHWA➖➖➖➖➖👉👉 HAYA IMESHUKA BEI KUTUOKA 350K MPAKA 300K MIEZI NJOO 📍Kimara ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🚨🔥#APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FANCE MOJA INAPANGISHWA➖➖➖➖➖📍Kimara Stop over 🕑Umbali kutoka sta...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 6🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANA...