House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA #250k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( public)
Na Jiko
===
Bei:250,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali dakika 15 Kwa mguu toka kituoni
===
UMEME NA MAJI NI BURE KABISA
===
Ndani ya fence parking IPO
===
NB: Mpangaji awe MSELA WA KIUME Au MUME NA MKE
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
0679447338
0753454167