House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
INA CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA LA KUPIKIA
UMBALI KM 2.5
KODI 150,000X6
AU 180,000X4
USAFILI BAJAJI 1000
DALADALA 700
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME WAWILI TU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343