House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


Master na jiko (150,000 ร 6) KIMARA BUCHA
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA YA KIBACHELA (STUDIO) INAPANGISHWA BEI NI 150,000K X 6
๐ฅ APARTMENT HII MPYA (STUDIO) INA SIFA ZIFUATAZO
#MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI LINAWEKWA SINKI ZURI LA KUOSHEA VYOMBO
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
#PARKING
#IPO NDANI YA FENSI KUBWA
BEI NI 150,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 - 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA YA GARI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 1 TUU (100,000/=)
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300