House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI SANA KUBWA
.
.
INAPANGISHWA 350X6
.
.
INAKUA WAZI BAADA YA WK MBILI KUTOKA LEO
.
.
KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NI RUKSA
.
.
SIFA ZAKE
########
APARTMENT INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
.
.
HII APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA
.
.
LOCATION: KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI WA KM 1,3 KUTOKA MOROGORO ROAD
.
.
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
0773700963
0753989554
====